Introduction

NI Chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania ambacho kimesajiliwa chini ya sheria ya vyama vya wafanyakazi no 10 ya mwaka 1998, na kilipewa namba ri ya usajili 010 tarehe 15/09/2000. TALGWU inaunganisha wafanyakazi wote wa serikali za mitaa na Taasisi nyingine nchini ambapo hadi Julai 2016, chama kilikuwa na wanachama 72370 .